Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
MOJA ya nyumba za kijiji cha Mwambe wilaya ya Mkoani inayoendelea kuathirika kutokana na mvua, kwa kupitiwa na maji, jambo linalosababisha wakaazi wa nyumba hiyo kuhama na mwengine kubakia nje wakati mvua ikinyesha, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment