Habari za Punde

Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Unaendelea na Jenzi Wake Mkoani Dodoma.

Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya ofisi hiyo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya  ujenzi wa jengo hilo iliyofanyika hivi karibuni  mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018. 

Taswira ya ujenzi wa  jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.