Wafanyakazi wa Kampuni ya mawasiliano ya
Zantel wakishiriki kufanya usafi katika soko la Samaki la Kunduchi ikiwa ni moja ya hatua ya uwajibikaji wa Kampuni hiyo kwa jamii katika kuweka mazingira ya safi na salama.
Zeozi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam
ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko hilo ili kuendeleza utamaduni huo.
Meneja Chapa
na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (Kulia) akishiriki kufanya usafi katika soko
la Samaki la
Kunduchi ikiwa ni moja ya hatua ya uwajibikaji wa Kampuni hiyo kwa jamii katika kuweka mazingira ya usafi na salama.
Zeozi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam
ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko hilo ili kuendeleza utamaduni huo.
Meneja Chapa
naMawasiliano Zantel, RukiaMtingwa (mwenyekofianyeusikulia)
naMenejaMwajiri Zantel, Frank Jackson (mwenyekofianyeusikushoto)
wakikabidhivifaavyakufanyiausafikwauongoziwasoko la Samaki la Kunduchimarabaadayawafanyakaziwa
Zantel kumalizazoezi la kufanyausafikatikasokohilomwishonimwa wiki jijini Dar
es salaam. ZoezihilonimojayahatuayauwajibikajiwaKampunihiyokwajamiikatikakuwekamazingirasafinasalamaambapokampunihiyoiliwatakawadauhaokuendelezautamadunihuo.
No comments:
Post a Comment