Habari za Punde

Ujumbe wa Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa Kwa Vyombo Vya Habari.

1 comment:

  1. Alichokisema Mzee Mkapa ndio ukweli wa mambo kuhusiana na vyombo vyetu vya habari. Ni vyombo ambavyo, nadhani vimekaa kiumbeumbea hivi na nadhani walishafanya utafiti kwamba Watanzania ni wavivu wa kusoma makala za habari za maendeleo na kwamba hushabikia makala za umbeaumbea na kwa kuwa wako kibiashara zaidi, basi huandika umbea ule utakaouza magazeti yao.
    Tujitafakari!
    Tujitafakari!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.