Timu ya madaktari bingwa wa Dkt.Samia waanza kutoa huduma za kibingwa
mkoani Njombe
-
Timu ya madaktari bingwa 30 waliowasili mkoani Njombe wameanza kutoa huduma
katika hospitali za wilaya zote mkoani humo huku wito ukitolewa kwa
wananchi ku...
4 hours ago
Alichokisema Mzee Mkapa ndio ukweli wa mambo kuhusiana na vyombo vyetu vya habari. Ni vyombo ambavyo, nadhani vimekaa kiumbeumbea hivi na nadhani walishafanya utafiti kwamba Watanzania ni wavivu wa kusoma makala za habari za maendeleo na kwamba hushabikia makala za umbeaumbea na kwa kuwa wako kibiashara zaidi, basi huandika umbea ule utakaouza magazeti yao.
ReplyDeleteTujitafakari!
Tujitafakari!