Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Pemba, wakiwa katika kikao cha pamoja cha kubadilishana mawazo na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt, Ali Moh'd Shein, kwa kutekeleza hadi zake kwa vitendo hususan ya kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi wa Serikali.
(Picha na Ofisi ya Rais Pemba.)
No comments:
Post a Comment