Habari za Punde

Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni.

Waawaa Zanzibar wahamia katika Jengo lao Jipya katika mtaa wa Kikwajuni Unguja baada ya kukamilika ujenzi wake. na kuaza kutowa huduma zake za magazeti katika jengo hilo. Kama linavyoonekana pichani. 
Muonekano wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo likiwa katika muonekano wake wa kupendeza baada ya kukamilika ujenzi wake hivi karibuni na kuhamia rasmin kuanza kazi za utayarishaji wa magazeti yake ya Zanzibar leo na Zanzibar leo Jumapili.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.