Habari za Punde

Mkombozi wa Usafiri Kati Visiwa vya Unguja,Pemba na Tanga Sealink 2.

Meli ya kampuni ya Azam Marine ikiwa katika bandari ya Forodhani Zanzibar ikiwa katika kupakia mizigo kuanza safari zake za Pemba na Tanga inatowa huduma ya usafiri kwa wananchi wa maeneo hayo na kupunguza kero ya usafiri kwa pande mbili hizo kuwa na usafiri wa uhakika.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.