Habari za Punde

Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba

 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC) Dk, Said Seif Mzee, akingalia Maendeleo ya Karafuu zilivyozaliwa Kisiwani Pemba. Picha na Habiba Zarali-- Pemba.
 Mdhamini wa Shirika la Biashara la Taifa Wilaya ya Mkaoni Pemba, Seif Suleiman Kassim, akimuonesha Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSTC , Dk, Said Seif Mzee, Mkarafuu jimsi Karafuu zilivyozaa huko Mahuduthi Kengeja Mkoani Pemba. Picha na Habiba Zarali -Pemba.
 Mkurugenzi  Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC -Zanzibar, Dk, Said Seif Mzee, akikaguwa shamba la Mikarafuu la bwana Zahor Said Ali, huko Mahuduthi Mkoani Pemba. Picha na Habiba Zarali -Pemba.
 Mdhamini wa Shirika la ZSTC Pemba, Abdalla Ali Ussi, akichuma Karafuu ili kumuonesha Karafuu hizo Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika hilo baadhi ya Karafuu zilivyofikia.

Mkurugenzi mwendeshaji wa Shirika la ZSTC Zanzibar, Dk, Said Seif Mzee, akipata maelezo kutoka kwa mtoto wa mmiliki wa Shamba la Mikarafuu , Zahor Said Ali huko Mahuduthi Kengeja .

Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.