Habari za Punde

Tamko la Wanaasasi za Kiraia Kuhusu Kunyimwa Dhamana Kwa Watuhumiwa wa Kesi za Udhalilishaji Watoto.

Mratibu wa Taasisi ya ActionAid, Bi.Khadija Juma akifungua mkutano huo wa kusomwa kwa Tamko la Wanaharakati wa Mtandao Usio Rasmi wa Harakati wakati wa mkutano huo kutowa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Zanzibar katika ukumbi wa ActionAid Mbuyu mnene Zanzibar. 
Afisa wa ZAFELA Khadija Juma akisoma Tamko la Wanaasasi za Kiraia Zanzibar Kuhusu Kunyimwa Dhamana kwa Watuhumiwa wa Kesi za Udhalilishaji wa Watoto wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar.  
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar Jamila Mahmoud akitowa ufafanusi wa Kisheria wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari kuwasilisha Tamko la Asasi za Kiraia kwa Waandishi wa habari mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Afisi za ActionAid Mbuyu Mnene Zanzibar. 
Afisa kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC) Thabit Abdullah akizungumza wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari Zanzibar.   
Waandishi wakifuatilia mkutano huo na Wanaasasi za Kiraia Zanzibar wakati wa kuwasilisha Tamko lao kwa wadau wa habari Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.