Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mwanajuma Majid akimuapisha Katibu Tawala Mpya wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Bi.Miza Hassan Faki, iliofanyika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba.
Katibu Tawala Mpya wa Wilaya ya Mkoani Bi. Miza Hassan Faki, akisaini hati yake ya kiapo baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mwanajuma Majid hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.
KATIBU
Tawala Mkoa wa kusini Pemba Yussuf Mohamed Ali, akizungumza kwenye hafla ya
kuapishwa kwa Katibu tawala mpya wa wilaya ya Mkoani Miza Hassan Faki, hafla
iliofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba
BAADHI ya
masheha, wakuu wa taasisi za serikali Mkoa wa kusini Pemba, wakifuatilia hafla
ya kuapishwa kwa Katibu tawala mpya wa wilaya ya Mkoani Miza Hassan Faki, iliofanyika ofisi ya Mkuu
wa mkoa wa kusini Pemba.
Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mwanajuma Majid Abdalla, Katibu tawala wake Yussuf
Mohamed Ali, Wakuu wa Wilaya za Chakechake na
Makoani na Katibu Tawala mpya wa Wilaya ya Mkoani, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment