Habari za Punde

Rais Dk Shein Akutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Inspekta Jenerali  wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha kwa Rais,[Picha na Ikulu.] 21/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Inspekta Jenerali  wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na   mgeni wake Inspekta Jenerali  wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro baada ya mazungumzo alipofika  kujitambulisha Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 21/06/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.