Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa
Little Theatre, jijini Dar esSalaam
MratibuwaMashirikayaUmojawaMataifa (UN) nchini
Tanzania, Alvaro Rodriguez,akizungumzawakatiwaSikuyaMaadhimishoyaWakimbiziDunianiiliyofanyikakatikaukumbiwa
Little Theatre jijini Dar es SalaamWasaniiambaoniwakimbiziwaliokokatikakambiyaNyarugusumkoaniKigoma, wakiburudishawageniwaliohudhuriaSikuyaMaadhimishoyaWakimbiziDunianiiliyofanyikakatikaukumbiwa Little Theatre jijini Dar es Salaam
WasaniiambaoniwakimbiziwaliokokatikakambiyaNyarugusumkoaniKigoma, wakiburudishawageniwaliohudhuriaSikuyaMaadhimishoyaWakimbiziDunianiiliyofanyikakatikaukumbiwa Little Theatre jijini Dar es Salaam
Wasaniiwakundi la Mpoto Theatre, wakiigizaigizokatikaSikuyaMaadhimishoyaWakimibiziDuniani,igizohilolilihusumauajiyanayotokeanchimbalimbalizilizokokwenye vita ambapohupelekeawananchi wake kukimbilianchinyinginenakuombahifadhiyaukimbizi.Maadhimishohayoyamefanyikakatikaukumbiwa Little Theatre, jijini Dar es Salaam
Na AbubakariAkida
NaibuKatibuMkuuWizaraya
Mambo yaNjenaUshirikianowaAfrikaMashariki, BaloziRamadhaniMwinyi,amesemaSerikaliitaendeleakutoahudumakwawakimbiziikishirikiananamashirikambalimbaliyandaninanjeyanchi,hukuakiziombanchizenyemachafukokukaanakutatuachangamotozinazopelekeawatukukimbianchizao.
AkizungumzawakatiwakuadhimishaSikuyaWakimbiziDuniani,iliyofanyikakatikaukumbiwa
Little Theatre jijini Dar es Salaam BaloziMwinyialisemaSerikaliya Tanzania
imekuwaikisaidiamasualayawakimbizikutokaawamuya kwanza yaMuasisiwaTaifanaRaiswa
Kwanza,Mwalimu Julius Nyerere,ikiwepokuwapahudumazaafyanaelimuiliwawezekutimizandotozaowalizokuwanazokablayakuzikimbianchizaonakwambaikiwaleotunaadhimishasikuyawakimbizidunianilazimawotetudhamiriekumalizatatizohili.
“Tuungenguvuyapamojakuhakikishatunamalizamigogorokupitianjiayamazungumzoilituwezekumalizatatizo
la wakimbiziduniani, natushirikiane nan chi zinazohifadhiwakimbizi,
mashirikayakimataifatukijuajukumu la kutatuachangamotohiiniletu,”alisemaBaloziMwinyi
Akizungumzakwenyemaadhimishohayo,
MratibuwaMashirikayaUmojawaMataifa (UN) nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez,
alisemaUmojawaMataifakupitiaShirika la UmojawaMataifa la KuhudumiaWakimbiziDuniani(UNHCR)
limekujanamkakatimaalumuwakuwahudumiawakimbizi nan chi zinazohifadhiwakimbizi(CRRF),lengoikiwanikukabiliananachangamotozakimaendeleozinazowakabiliwakimbizikatikamakambimbalimbali.
NayeMwakilishiwa UNHCR
Tanzania,ChansaKapayaalisemashirika lake litaendeleakushirikiananaSerikaliya
Tanzania katikakuhakikishawakimbiziwanaendeleakupokeamisaadamuhimuyakibinadamu,katikamazingiraambayoyanawaruhusukuishikwausalamanahadhi.
Tarehe20 mweziJuniduniainaazimishaSikuyaWakimbiziDunianihukuikikadiriwakilabaadayasekundeishirinimtummojahukimbianchiyakenakuachafamilia,
nyumbanamaliakikimbiamachafuko,
migogoronaainambalimbalizauhalifukwabinadamunakundilinaloathirikazaidiniwatotowadogowanaokadiriwakuwawengikatikaidadiyajumlaya65.6milioni
yawakimbiziduniani.
No comments:
Post a Comment