Habari za Punde

Uimarishaji wa Miundombinu ya BarabaraZenj.

Mfanyakazi wa Idara yaUtunzaji Barabara  akiwa katika harakati ya ukarabati wa barabara ya darajani Unguja baada ya kuathirika na mvua za masika zilizokuwa zikinyesha mwezi uliopiti na kusababisha uharibifu wa miundombinu hiyo ya barabara kuharibika kwa kiasi kikubwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.