Habari za Punde

Uwanja wa Gombani kupakwa rangi

 Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya ZECCON, yenye makao makuu yake mjini Unguja, wakiwa katika kazi ya kukwa nguwa rangi kwenye majukwaa ya Kiwanja cha Michezo cha Gombani Pemba , kabla ya kuanza kufanya matengenezo na kupakaa rangi nyengine.

 Baadhi ya Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya ZECCON, wakiziba baadhi ya sehemu zilizo vunjika katika kiwanja cha Michezo cha Gombani Pemba, kabla ya kuufanyia matengenezo na kupakaa rangi.

Mandhari ya Kiwanja cha Michezo cha Gombani kilivyo sasa hivi.

Picha na Khatib Juma Mjaja -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.