Habari za Punde

Wabunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Dar Wafanya Ziara Kuhamasisha Wanachama na Kuimarisha Uhai wa Chama Kuelekea Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM UWT




Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais 





Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Viongozi na Wanachama 





wa UWT (CCM) wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kuhamasisha 




wanachama juu ya uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama. Mkutano huo ulifanyika leo mchana kwenye Ukumbi 





wa Ndugumbi uliopo Magomeni Barafu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum CCM, Ikupa 





Alex. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

 Baadhi ya Wanachama wa CCM Kina mama wakifurahia moja ya kauli ya mgeni rasmi.
 Wanachama wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati wa mkutano huo.
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Masunga, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuhutubia.
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Ilikuwa ni furaha kwenda mbele.... 
 Wanachama wakishangilia
 Mgeni rsmi Angela Kairuki akiagana na wanachama waliokuwepo ukumbini humo baada ya kumaliza mkutano huo.
 Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza jambo na mmoja wa wanachama aliyekuwa akimueleza baadhi ya Kero za mtaani kwake baada ya kumaliza kuwahutubia Viongozi na Wanachama wa UWT (CCM) wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kuhamasisha wanachama juu ya uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa Ndugumbi uliopo Magomeni Barafu jijini Dar es Salaam.
 Mgeni rsmi Angela Kairuki akiagana na wanachama waliokuwepo ukumbini humo baada ya kumaliza mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.