Habari za Punde

Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe.Zuberi Ali Maulid afungua Semina ya Uwasilishaji wa Rasimu ya Sheria ya Uhuru wa Bidhaa, Rasimu ya Sheria ya Ushuru wa Stempu na Utoaji wa Risiti kwa kutumia Mfumo wa Kielektroniki (EFDS).kwa wajumbe wa Baraza inayofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dk.Khalid Salum akizungumza wakati wa semina hiyo kwa wajumbe wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Mada wakati ikiwasilishwa na Mwanasheria wa ZRB. katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Zanzibar.

Mwanasheria wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Khamis Jaffar Mfaume akiwasilisha Mada ya Rasimu ya Sheria Ushuru wa Bidhaa,kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.