Habari za Punde

Waandishi Wapata Mafunzo ya Maadili ya Kazi Yao.

Mtoa Mada wakati wa mafunzo ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar vya Serikali na Binafsi wapata mafunzo ya Maadili ya Kazi yao yaliotolewa na Mkufunzi Saleh Koshuma katika ukumbi wa Kituo cha Huduma za Sheria Kijangwani Zanzibar.
Mtoa Mada ya Maadili kwa Wandishi wa Habari Zanzibar Ndg Saleh Koshuma akisisitiza jambo wakati akiwasilisha Mada yake wakati wa mafunzo hayo ya Siku moja yaliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Huduma ya Sheria Kijangwani Zanzibar.
Waandishi wa habari wakifuatilia mada iliokuwa ikiwasilishwa wakati wa mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo wa kufanya kazi zao bila ya upendeleo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.