Habari za Punde

Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea.

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wanachama wa CCM Kata ya Kitunda wakimsikiliza kwa makini Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, wakati akiwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha uchaguzi na kuimarisha chama kuelekea uchagzi wa UWT
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam

Wanachama wa CCM wakifurahia na kucheza kwa pamoja wakati wa mkutano huo.
Wanachama wa CCM wakifurahia na kucheza kwa pamoja wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.