Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba Sheria na Utawala Bora Azungumza na Watendaji wa Wizara hiyo Kisiwani Pemba kATIBU mKUU

MAAFISA Wadhamini kutoka Taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba, wakipitia ripoti mbali mbali za utekelezaji wakati wa kikao cha pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya nchi  Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Yakut Hassan Yakut, kilichofanyika Mjini Chake Chake
KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar, Yakut Hassan Yakuta kifungua kikao cha Siku moja cha maafisa wadhamini wa taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba, kikao hicho kimefanyika huko mjini Chake Chake
AFISA Mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba, Massoud Ali Mohamed akizungumza na maafisa wadhamini katika kikao cha Pamoja kilichofanyika Mjini Chake
Chake
MAAFISA wadhamini Kutoka taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini hutuba ya ufunguzi wa kikao hicho kilichofanyika mjini chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.