Habari za Punde

Ligi Kuu Zanzibar Nane Bora Kati ya Jamuhuri na Zimamoto Uwanja wac Amaan Timu ya Jamuhuri Imeshinda Bao 2-1.

Kipa wa Timu ya Jamuhuri akiokoa moja ya michomo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanbzibar Timu ya Jamuhuri imetoka kinara kwa ushindi wa bao 2-1. na Kuongoza Ligi Hiyo. 
Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto akimpita beki wa Timu ya Jamuhuri wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Jamuhuri imeshinda Bao 2-1.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.