Habari za Punde

Mafanikio ya Kikundi Cha Ushirika Cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba.

Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Ushirika wa Kikundi cha Kibokoni Saccos Vitongoji Pemba Ndg.Yussuf Said Seif, akitzungumza na Wanachama wa Vikundi vya Ushirika waliofanya ziara ya ijirani mwema kutembelea katika Ushirika huo kimasomo  kuangalia mafanikio walipota katika kikundi cha hicho.

Baadhi ya bidhaa ambazo zimekuwa zikizalishwa na Wanaushirika wa  GEP , uliopo katika Jimbo la Gando Pemba, ambavyo vimekuwa vikikosa Soko na kubakia Majumbani , Mkoba huo na mdogo ndani yake unauzwa kwa Tshs, 50,000/=.
Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.