Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

Msanii wa Uchoraji wa picha kisiwani Pemba Ndg. Abby akiwa katika kazi zake za uchoraji wa aina ya picha mbalimbali mjini Chakechake maeneo ya machomane kama alivyokutwa na mpiga picha wetu katika eneo hilo la kazi yake ili kuweza kujipatika kipato kupitia usanii huwa wa uchoraji
AFISA Mdhamini Wizara Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Pemba, Sihaba Haji Vuai akizungumza na kamati za Uvuvi kutoka shehia tatu za Wilaya ya Mkoani, huko katika skuli ya Mohamed Juma Pindua
BAADHI ya Wafanya biashara wa mji wa Chake Chake, wameanza kuvunja mabanda yao ambayo walikuwa wakiyatumia katika kipindi cha Ramadhani na skukuu yake katika mji wa Chake Chake. 

(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.