Habari za Punde

Wananchi wa Jangombe Pembezoni Mwa Barabara Hiyo Wavunja Nyumba Zao Baada Kukamilika Taratibu za Malipo Kupisha Mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa Maji Machafu.

Wananchi wa eneo la Jangome Unguja wakivunja nyumba zao baada ya taratibu za malipo ya majengo yao kukamilika ili kupisha Mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa Maji Machafu unaotokea eneo la Jangombe linalojaa maji na kufurika wakati wa mvua za masika kikinyesha katika msimu wake na wananchi wa maeneo hayo kuhama makazi yao.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.