Ukitaka kujua sisi ni watu wa aina gani hata kama huwa tunapenda kujifurahisha na kujifaharisha sifa tusio nazo, picha hii ni kielelezo tosha.
Tunaishi huku tukijichanganya mno; matendo yetu na kauli zetu kamwe hazirandani; kufuata maelekezo kwetu haram kama si makruh. Soma hicho kibao kwenye mti wa hii picha
No comments:
Post a Comment