Habari za Punde

Choo kinapogeuka kuwa duka!

Kilipojengwa miaka hiyoo kilikusudiwa choo cha matumizi ya kawaida kwa wale watakaohitaji vyoo (Public Toilet) lakini imeonekana huduma hii haihitajiki tena kwani labda tumekuwa na vyoo vya kutosha kwa hivo wacha tukigeuze kiwe duka  la wakala wa simu ili tuendane na wakati!

Picha kwa hisani ya Abuu Shani kupitia ukuta wake wa Facebook

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.