Habari za Punde

NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni

 Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar, Abdalla Duchi (kulia) akikabidhi moja ya vifaa vilivyotolewa na NMB kwa wizara ya afya Zanzibar kwaajili ya kambi ya kipindupindu iliyoko Chumbuni nje kidogo ya mji wa Zanzibar.

 Vifaa hivyo vyenye thamani ya sh.milioni 5 ni pamoja na viti (wheel chair) viatu( gumboot) gloves na vitanda vya kubebea wagonjwa.

Vifaa vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini Zanzibar, Marina Joel Thomas na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Zanzibar, Aboud Hassan Serenge (kushoto)

Picha na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.