Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba.

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumz ana wananchi wa Chokocho na Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba kabla ya kukabidhiwa mashua mbili zenye thamani ya Milioni 27 za Kuvukia ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Dk Shein aliyoitoa kwa wananchi hao
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ, Haji Omar Kheir akimkabidhi mashua mbili zenye thamani ya Milioni 27 Komodoo wa KM KM kanda ya Pemba, kwa ajili ya

kuwasafirisha wananchi wa CHOKOCHO NA Kisiwa Panza, kulia Mkuu wa Mkoa wa KUsini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla

WANANCHI wa Kisiwa Panza wakipanda katika amoja ya mashua zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kwa wananchi Chokocho na Kisiwa Panza kwa ajili ya Kuvukia.
MASHUA mbili zenye thamani ya shilingi Milioni 27 zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati alipowatembelea wananchi wa Chokocho na Kisiwa Panza
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.