Habari za Punde

Shirika la Posta Tanzania Waahidi Makubwa Baada ya Kujishindia Tuzo Kwenye Maonesho ya Sabasaba Dar.

TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za kutoa huduma. Tunzo hiyo alibabidhiwa Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Deo Kwiyukwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dr. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba.Picha na Othman Michuzi Media Group

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.