Habari za Punde

Timu ya Madaktari Diaspora Kutoka Marekani Watowa Huduma ya Afya Kwa Wananchi wa Bumbwini Misufini Zanzibar.

Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini  misufini wakiwa katika kituo cha Afya kupata huduma ilikowa ikitolewa na Madaktari Diaspora kutoka Nchini Marekani Mabingwa wa Maradhi ya Ngozi, Presha Kisukari na Madakrati wa Watoto wamekuwa katika kituo hicho cha Afya Bumbwini Misufini kutowa huduma hiyo kwa Wananchi wa Kijiji hicho Wakiwa Zanzibar kwa siku nne kwa ajili ya kutowa huma hiyo wameaza katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja. 
Daktari kutoka Diaspora Marekani akitowa maelezo kwa Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati wa kutowa huduma ya Afya kwa Wananchi hao.








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.