Habari za Punde

Ujenzi wa Barabara ya Magogoni Kwa Mabata waanza kwa Hatua za Mwazo Uwekaji Kifusi.

Burudoza la Kampuni inayojenga barabara hiyo Kampuni ya MECCO ikianza kazi hiyo kwa hatua ya mwanzo kuchimbia barabara hiyo kwa ajili ya uwekaji wa kifusi na hatua ya mwisho kuweza kuweka lami, barabara hiyo imekuwa kero kwa wananchi wa Kinuni kupitia kwa mabata.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.