Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Wenye Ulemavu Zanzibar,Bi.Salma Haji Saadati akizungumza na wanawake wenye Ulemavu Kisiwani Pemba, katika mafunzo ya siku mbili kwa wanawake hao huko katika ukumbi wa madungu maandalizi Chake Chake Pemba
Wabawake wa Jumuiya Watu Wenye Ulemavu Kisiwani Pemba wakifuatilia semina ya mafunzo ya haki za binadamu, huko katika skuli ya madungu maandalizi Chake Chake Pemba.
(PICHA NA HABIBA
ZARALI, PEMBA)
Ahsante kwa kutupasha habari
ReplyDelete