Mwenyekiti wa Jumuia
ya Tumaini iliopo Vitingoji wilaya ya Chakecheke kisiwani Pemba, Mohamed Abdllah
Khamis ‘song” akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali,
waliofika kwenye ushirika huo, kuangalia maendeleo na changamoto zinawazokabili
Mwenyekiti wa Jumuia ya Tumaini, iliopo Vitongoji wilaya ya
Chakechake kisiwani Pemba, Mohamed Abdalla Khamis ‘song’ akiwa na vitango vyao
ambavyo kwa sasa wamedai kukosa wateja na huwenda wakala hasara kubwa, iwapo
vitango vyao zaidi ya 700 havikununuliwa
No comments:
Post a Comment