Habari za Punde

Kongamano la 47 la Utabiri wa Hali ya Hewa Kwa Nchi Zilioko Pembezoni Mwa Afrika Lafanyika Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dr. Agnes Lawrence Kijazi akizungumza wakati wa Kongamano hilo la Utabiri wa Hali ya Hewa kwa Nchi za Afrika zilioko pembezoni mwa Afrika linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar 
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakifuatilia ufunguzi huo uliofanywa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania Dk Makame Mbarawa katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dr. Agnes Lawrence Kijazi akizungumza wakati wa Kongamano hilo na kutowa maelezo kwa Washiriki kutoka Nchi za Pembezoni mwa Afrika kuhusiana na Utabiri wa Hali ya Hewa katika Nchi zao.
Dr. Guleid Artan, Director of IGAD Climate Prediction and Applications Center (ICPAC) akitowa maelezo wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo uliowashirikisha Watabiri wa Hali ya Hewa katika Nchi za Pembezoni mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Mwakilishi wa USAID Brad Arsenault,akizungumza wakati wa mkutano huo kabla ya kufungyuliwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Makame Mbarawa uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar akitowa salamu za USAID wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.

Mwakilishi wa UNDP Tanzania David Omozuafoh akizungumza wakati wa mkutano huo wa Utabiri wa Hali ya Hewa kwa Nchi za Afrika zilioko pembezoni mwa Afrika unaofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano huo wa Utabiri wa Hali ya Hewa wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufunguzi wake.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Mhe. Mwinyiussi Abdallah Hassan akizungumza wakati wa mkutano huo na kutowa nasaha zake kabla ya kumkaribisha Mgeni Rais Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasilioano Profesa Makame Mbarawa kufungua Kongamano hilo la Watabiri wa Hali ya Hewa kwa Nchi Zilioko Pembezoni Mwa Afrika unaofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano  Tanzania Profesa Makame Mbarawa akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Washiriki wa Kongamano la Watabiri wa Hali ya Hewa katika Nchi zilioko Pembezoni Mwa Nchi za Afrika linalofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizinin Zanzibar.
ProfesaMbarawa akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano huo wa Kongamano la Watabiri wa Hali ya Hewa katika Nchi zilioko pembezoni mwa Afrika.linalofanyika katika ukumbi wa hoteli ya zanzibar beach resort mazizini Zanzibar. 


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasilianin Zanzibar Shomari Omar Shomari akitowa neno la shukrani wakati wa mkutano huo wa Kongamano la Watabiri wa Hali ya Hewa Afrika.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.