Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Awasili Dar es Salaam Akitokea Nchini Afrika Kusinu Kuhudhuria Mkutano wa SADC.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amerejea leo akitokea nchini Afrika Kusini ambapo alihudhuria mkutano  wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) , 

Makamu wa Rais alipokelewa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa  Julius Kambarage Nyerere na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda pamoja na viongozi wengine wa Serikali. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.