Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Azungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mzee Wasira leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na jumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Stephen Wasira alipofika leo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Stephen Wasira leo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.