Habari za Punde

Makamu wa Rais wac Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe.Inmi Patterson alipofika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo na kujitambulisha na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza tangu alipowasili nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe.Inmi Patterson aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam na kujitambulisha na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza tangu alipowasili nchini.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.