Habari za Punde

Kikosi cha Timu ya Kundemba Kinachoshiriki Ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini.

 Wachezaji wa Timu ya Daraja la Pili Wilaya ya Mjini Unguja wakijinoa na msimu ujao wa Ligi hiyo kwa msimu 2017/2018 wakiwa katika viwanja vya mnazi mmoja wakiwa katika mazoezi ya viungo chini ya Kocha wao Mkuu Juma Sumbu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.