Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Timu ya Gulioni Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Simba Imeshinda Bao 5-0

Mchezaji wa Timu ya Simba Arasto Nyoni akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Gulioni Ibrahim Haruna wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Simba imeshinda bao 5-0. 
Mashabiki wa Timu ya Gulioni wakishangilia Timu yao wakati ikiingia Uwanjani kupapana na Timu ya Simba kutoka Dar es Salaam mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.  Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Mhe Abdallah Maulid Diwani akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Simba kabla ya kumaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Mhe Abdallah Maulid Diwani akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Gulioni kabla ya kumaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Gulioni wasalimiana na Wachezaji wa Timu ya Simba kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.