Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima na Uongozi wa Sirika la Bima  Zanzibar  katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji wa Sirika hilo , [Picha na Ikulu.] 11 /08/2017.
 Baadhi ya Viongozi katika  Sirika la Bima  Zanzibar  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja  na Bodi ya Wakurugenzi ya  Wakurugenzi ya Shirika la Bima Zanzibar  ,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima  Zanzibar Nd, Abdulnasir Ahmed Mohamed (kushoto) alipokuwa akizungumza na kutoa ufafanuzi wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pia kimejumuisha Bodi ya  Wakurugenzi ya Shirika la Bima  Zanzibar,Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango na Uongozi wa  Shirika la Bima Zanzibar,(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya  Wakurugenzi ya Shirika la Bima  Bw.Jumbe Said Ibrahim,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.