Habari za Punde

Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya  Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Nd,Ali Khalil Mirza pamoja na Viongozi wengine mara alipofika kukagua kituo cha kutibu Maji safi na Salama katika Kijiji cha Donge Mbiji Wilaya ya Kaskazini Unguja leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 12/08/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Salama katika Wizara ya  Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Dkt.Mustafa Ali Garu (kulia) mara alipofika kukagua kituo cha kutibu Maji safi na Salama katika Kijiji cha Donge Mbiji Wilaya ya Kaskazini Unguja leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo, (katikati) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Mhe.Salama Aboud Twalib,[Picha na Ikulu.] 12/08/2017. 

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Salama katika Wizara ya  Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Dkt.Mustafa Ali Garu (kushoto)alipokuwa akitota maelezo  kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein ( wa pili kushoto) mara alipofika kuangalia kisima katika kituo cha kutibu Maji safi na Salama katika Kijiji cha Donge Mbiji Wilaya ya Kaskazini Unguja leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo, (katikati) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Mhe.Salama Aboud Twalib,[Picha na Ikulu.] 12/08/2017. 
 ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Bwana Haruna Abuu Mbarouk  wakati alipotembelea Shamba la Mikarafuu   katika Kijiji cha Donge Pwani Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara maalum leo kutembelea maendeleo mbali mbali ikiwemo Miradi ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 12 /08/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa maelekezo wakati alipotembelea Shamba la Mikarafuu la Bwana Haruna Abuu Mbarouk (hayupo pichani) katika Kijiji cha Donge Pwani Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara maalum leo kutembelea miradi mbali mbali  ya maendeleo,(kulia) Nd,Mbariouk Amour Mbarouk na (katikati) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.] 12 /08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.