Habari za Punde

Wapenzi wa Timu ya Simba Zanzibr Wakifuatilia Sherehe za Simba Day Uwanja wa Taifa Dar Kupitia Luninga

Wapenzi wa Timu ya Simba Zanzibar Tawi la Amaan Zanzibar wakiwa katika tawi lao Amaan wakifuatilia mchezo wa kirafi kusherehekea Simba Day na Tumu kutoka Nchini Rwanda mchezo uliofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini  Dar es Salaam ikicheza na Timu ya Rayon Sports katika mchezo huo timu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 1--0.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.