Waziri wa waNchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria , Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akiawa na Pakacha ilioandaliwa kwa ajili ya uchumaji wa karafuu huko mgagadu kabla Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohammed Shein, kufanya uzinduzi wa Zoezi la Uchumaji wa
Karafuu huko mgagadu Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba.
No comments:
Post a Comment