Wananchi wakiwa katika eneo la barabara ya kwenda Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba wakiliagalia gari lenye namba za usajili Z990 GX, iliopata ajali katika eneo hilo wakati ikielekea Uwanja wa Ndege na kupata ajali hiyo kwa kupinduka na abiria wa ajali hiyo wamejeruhiwa na kupata matibabu katika hospitali ya Chakechake, hakuna mtu aleyefariki katika ajali hiyo.Picha na Omar Mohammed,Pemba)
KWA SASA NYAMA CHOMA NI VINGUNGUTI KWA KUMBILAMOTO TU…NJOO TUINJOI MTU WANGU
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
Ni mwendo wa nyamachoma tu! Hivi ndivyo unavyoweza kuelezea yanayoendelea
katika soko la nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vi...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment