Habari za Punde

Bangi yakamatwa bandari ya Mkoani

 Madawa ya Kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi  yaliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba katika Bandari ya Mkoani Kisiwani humo  , na Abiria aliekuwemo katika Meli ya Azam 11, ikitokea Unguja hapo

jana.

 Madawa  ya kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi , ikimiminwa na Askari wa Jeshi la Polisi kwenye meza ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini ,Shekhan Moh'd Shekhan.

Mfuko ambao ulihifadhiwa Madawa hayo yanayosaidikiwa ni Bangi , ambayo yalikamatwa Mkoani Pemba , na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba.


PICHA NA ZUHURA JUMA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.