Habari za Punde

Sherehe za Elimu Bila Malipo zilivyoadhimishwa Mkoa wa Kusini Pemba


Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Kusini Unguja wakipita kwa maandamano,wakibeba bango linalotioa ujumbe uanosema “Tushirikiane kupiga Vita Ukatili na Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto ni Jukumu letu Sote”katuika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakere chake katika Tamasha la Elimu bila malipo kwa kutimiza miaka 53 mwaka 2017. [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
Wanafunzi wa Laureate Int. School Pemba wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,ambapo Viongozi wa Taasisi mabli mbali Serikali walihudhuria, [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.


 Wanafunzi wakipita kwa maandamano mbele ya Jukwaa la Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha miaka 53 ya Tamasha la Elimu bila malipo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya wananfunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar katika kilele cha Elimu Bila malipo kwa Kutimiza miaka 53 katika uwanja wa Gombani Mkoa wa Kusini Pemba leo,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.

 Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Kusini Pemba  wakipita kwa maandamano,mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,ambapo Viongozi wa Taasisi mabli mbali Serikali walihudhuria, [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.

Wananchi wa Shehia mbali mbali za Wilaya ya Chake chake na Wilaya Nyengine wakiwa katika Sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani ambapo tamasha hilo katika kushererekea maiak 53 miaka 53 mwaka 2017. [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
 Baadhi ya Wananchi na Wanafunzi wakiwa katika sherehe za Elimu Bila malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika kilele cha kutimiza miaka 53 ,sherehe za michezo mbalo mbali zilifanyika kwa wanafunzi wa Maskuli mbali mbali,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
 Wanafunzi wakiimba wimbo maalum  katika sherehe za Tamasha la Elimu Bila malipo kwa kutimiza miaka 53 katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pem,be Juma alipokuwa akizungumza na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)ili kuzungumza nha wananchi na Wanafunzi katika sherehe za Tamasha la Elimu bila Malipo kwa kutimiza miaka 53 katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
 Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi wakipita katika Jukwaa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Tamasha la Elimu Bila Malipo kwa kutimiza miaka 53 ya sherehe hizo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake,Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
 Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika Tamasha la Elimu Bila Malipo kwa kutimiza miaka 53 ya sherehe hizo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake,Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Wanafunzi wa Skuli za Zanzibar katika Tamasha la Elimu Bila Malipo kwa kutimiza miaka 53 ya sherehe hizo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake,Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa a,kimkabidhi kombe Afisa Elimu Mkoa wa Kusini Pemba Mwalimu Haji Kombo kwa niaba ya Mkoa huo katika Tamasha la Elimu Bila Malipo kwa kutimiza miaka 53 ya sherehe hizo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake,Mkoa wa Kusini Pemba,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.