Habari za Punde

Kamati Kuu ya CCM Taifa yakutana leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) wakiwa  katika kikao siku mbili cha Kamati Kuu ya CCM Taifa   kilichoanza leo ukumbi wa Mkutano Ikulu Jijini Dar es Salaam, [Picha na Ikulu.] 27/09/2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.John Pombe Magufuli (kulia) akiwa na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa mara baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano Ikulu Jijini Dar es Salaam leo (katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 27/09/2017.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.John Pombe Magufuli (katikati) akiendesha Kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichoanza leo katika ukumbi wa Mkutano Ikulu Jijini Dar es Salaam na kujadili mambo mbali mbali ya Chama hicho, [Picha na Ikulu.]  27/09/2017.

Baadhi ya wajumbe wa  Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa  wakiwa katika kikao cha siku mbili chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli kilichoanza leo katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.]  27/09/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.