WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba, wameamua kujiajiri wenyewe
katika vilimo mbali mbali, ili kujikomboa na umasikini, pichani wakulima wa
tungule Pujini wakivuna zao hilo ambapo ndoo moja huuzwa 15000/= hadi 13000/=
.Picha na Abdi Suleiman - Pemba.
No comments:
Post a Comment