| Alicia akiendelea kushamyulia jukwaa la Tigo fiesta Jijini Arusha mapema mwishoni wa wiki iliyopita. |
| Msanii wa Ben Pol akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamasha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
| Aslay akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
| Umati wa wakazi wa Arusha wakiwa katika kushuhudia burudani ya Tigo Fiesta |
| Shangwe za Tigo fiesta zikiendelea |
| Vanesa Mdee akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
| Jux akilishambulia jukwaas la Tigo Fiesta |
| Maya Sama akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta |
| Msaga sumu akitumbuiza katika jukwaa la tigo Fiesta. |
| Young D akishambulia jukwaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia juzi Jijini Arusha. |

No comments:
Post a Comment