Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akiwasili katika Viwanja vya Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Kuhudhuria Hafla ya Ufunguzi wa Msikiti Huo leo Zanzibar 22/9/2017.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Secretary General of the Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science Mhe. Habib Mohammed Al Riyam, alipowasili katika viwanja vya masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini kuhudhuria ufunguzi wa Masjid hiyo leo, uliofunguliwa rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Ali Mohamed Shein.kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania alipowasili katika viwanja vya masjid hiyo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.